Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,655
- 69,758
Baadhi ya Watu waliohushudia Kuanzishwa mwenge wanasema kulikuwq na watu Kabambe waliokuwa manguli wa mambo ya kale na kimila, akinaNinataka kujua hivi:
Wakati wa kukimbiza mwenge utakuta sehemu wanayofikia lazima watenge chumba maalum cha kuhifadhia mchanga. Wakiwa wanaendelea na tukio la mwenge sehemu husika utawaona maaskari wawili au watatu wanaenda kwenye kile chumba chenye mchanga
Je ni nini huwa kinafanyika huko
1. Master Forojo Ganze
2.Primus Mugamba Julius
3.Mfaume Goro Tumbo
4.Shekhe Yahya Hussein.
5.Shaibu Kalole Mtiga