Mchana flani hivi la stanza....

Unajua kuna watu wamefunga aise ww unapost picha kama hiyo
Kama funga ya mtu ina haribiwa na kuona vyakula, pombe n wanawake. Unakaa njaaa bure.

Unafungua nyuzi za nin kama unapata tabu, zina data, washa radio ya dini, shinda ndan au nyumba ya ibada.... Mnakela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…