mchambue warumi apa...

mchambue warumi apa...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Una swali lolote au kitu chochote ambacho ungependa kujua kuhusu warumi??,ushauri na je kitu gani uwa unakifurahia kutoka kwangu au kuchukia? Wakati ndio huu,nimetoa nafasi adimu kwa kila mtu kutoa maoni au duku duku lake kuhusu mimi.Zingatia maadili tu , karibuni...
 
Warumi u mean roman??as dini au??hebu dadavua tutiririkee
 
warumi wote au ?

mko vatican city ama?

romans_logo.png
 
Nani kamwaga pombe yangu?
 
Una swali lolote au kitu chochote ambacho ungependa kujua kuhusu warumi??,ushauri na je kitu gani uwa unakifurahia kutoka kwangu au kuchukia? Wakati ndio huu,nimetoa nafasi adimu kwa kila mtu kutoa maoni au duku duku lake kuhusu mimi.Zingatia maadili tu , karibuni...

Wadau wameuliza maswali kibao mbona kimya...au hukutarajia maswali hayo..usiniambie unagoogle majibu...teh
 
Duh sasa maswali mengine magumu,sasa unapouliza mimi mtamu una maana gani? Utamu upi?,swali lako halijibiki,nisaidie kufafanua uo utamu unaouzungumzia
 
Duh sasa maswali mengine magumu,sasa unapouliza mimi mtamu una maana gani? Utamu upi?,swali lako halijibiki,nisaidie kufafanua uo utamu unaouzungumzia

Wewe mwenyewe umeruhusu maswali afu unaanza kuruka tena.!? Kajipange
 
Hakuna nilichokitegemea kwenye maswali yenu yote
 
Ila sina wasi wasi kabisa na uwezo wako wa kufikiri,naamini pia akili zako zote zipo pale pale unajaribu kuzihamisha tu
 
Unayeuliza mimi mtamu wewe adamu au eva?? Kama ni eva u are safe,kama ni adam two things are involved...malizia basi
 
Back
Top Bottom