Mwalimu Ntuntu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 314
- 294
Habari wanajukwaa! Naomba ufafanuzi/kujua mchakato wa kujiunga na PhD ya Open University of Tanzania. Niko Meatu,Simiyu.
Ahsante sana. Ngoja nijaribuOpen huwa hakuna shida kinachotakiwa ni kutuma maombi tu online basi
Out hawana shidaHabari wanajukwaa! Naomba ufafanuzi/kujua mchakato wa kujiunga na PhD ya Open University of Tanzania. Niko Meatu,Simiyu.
Master ya open university Wana Dissertation kama vyuo vya full time ?Out hawana shida
Omba tuu utajibiwa Mwalimu Ntuntu
Hakuna masters isiyokua na andikoMaster ya open university Wana Dissertation kama vyuo vya full time ?
SawaHakuna masters isiyokua na andiko
Yes zipo.Master ya open university Wana Dissertation kama vyuo vya full time ?