Elections 2010 Mchakato majimboni TBC1 Jimbo la Kigoma Kaskazini

Mkuu nina maswali mawili juu yako:-

1. Ni kweli unampango wa kugombea urais mwaka 2015?
2. Vipi mbona haufanyi kampeni za Mgombea urais wa Chadema Dr Slaa?
3. Ni kweli kuwa wewe na Dr Slaa hampikiki chungu kimoja (hamuivi)

Asante.

BNN
 
Zitto,
Tutegemee kauli gani kutoka kwako juu ya serikali ya awamu ya nne (Mafisadi +++) kwamba JK amefanya mambo makubwa jimboni kwako!!!!?????? hivyo anafaa

Je, watanzania wanahitaji kujua hilo wakati huu wa mapambano dhidi ya adui yao???????? kama baadhi ya taarifa zilivyo ku-quote.

Je kama hayo yaliyofanywa kwako ilikuwa hongo (kumradhi), kwann hayako tz nzima???? KAMA YAKO KWELI.
 
Welcome back long lost son of JF.

Tutakuangalia na ku coment, ila kwa vile chama fulani hakipo, hizi debate zimepoteza sana flavour, hivyo kuonekana walkover the baadhi yenu, kama ulivyokuwa mdahalo wa Seif kule ZNZ ila ni muhimu tukakusikia ukimwaga sera zenu/zako, most importantly ni conclusion yako kama utamuombea kura mgombea wenu, au utachukua Mrema style kujipigia debe la ubunge na kumpigia muungwana la urais.

Thanks for info.
 
Tutavinjari kuangalia. Chama TWAWALA msikichague maana kimegoma kuwa hakiitaji kura zetu za luninga. wana kiburi cha kima feather. Chademaaaaaaaaaa! Chademaaaaaaaaaa! Vema! vema!
 
Sawa kaka zitto, kweli siku ile kwenye mdahalo wa wagombea vibaya hukuwa kama vile ulivyo, sijui uliamkaje? na hukuwa unajiamnini kabisa, we mpiganaji usituangushe kaka.
 
Asante kwa taarifa Zitto.

Naomba kukuuliza swali la kichokozi kidogo mbona kwenye kampeni za Dr hauonekani?
 
Zitto hana mpango wa kugombea urais 2015. Sasa hivi tunaangalia OCT 31. Hayo mabo ya baada ya 2015 hayatatusaidia kwa sasa hivi.
 
Kama leo "machakato majimboni " ni jimboni kwa Zitto, Siwezi poteza mda wangu kwa kutizama mtu kama Zitto, kijana aliyeishiwa sera na mwenye tamaa ,anayejali maslahi yake binafsi kuliko ya wapiga kura wake.....
 
Zitto usikatishwe tamaa na wana CCM wewe kata mbuga , mbiga kampeni ya silaa na wabiunge wengine wa chadema , tumesha shuhudia ukimnadi mnyika , mdee na wengine, chapa kazi.
 
Napendekeza tuanzie hapa kuleta mada mbalimbali zinazohusu mdahalo wa wagombea ubunge majimboni. Hapa naona mgombea huyu wa cuf mr mkwaruro. Kachonga sana. Anafuatia wa appt maendeleo
 
Nra ndio anaingia na kushangiliwa kiasi. Ni kiswaga huyu. Nae anajua kuongea.
 
Dalili zinaashiria mgawanyo hasi wa kura kwani hawa jamaa watawagawanya vibaya wanajimbo wa kigoma kaskazini
 
Back
Top Bottom