KARIA JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 717 Reaction score 473 Jul 31, 2012 #1 Mchaga na pesa ni noma; Mtoto; Mama nimemuomba baba hela ya kusuka kaninyoa nywele! Mama; Una bahati sana ungemuomba hela ya whitedent angekung'oa meno! :eek2:
Mchaga na pesa ni noma; Mtoto; Mama nimemuomba baba hela ya kusuka kaninyoa nywele! Mama; Una bahati sana ungemuomba hela ya whitedent angekung'oa meno! :eek2:
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,162 Reaction score 64,503 Jul 31, 2012 #2 hahahahaaaa. nmecheka lakini vichekesho kama hivi vinawekwa jukwaa la joke. Mia
cacico JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,362 Reaction score 7,812 Jul 31, 2012 #3 uwiiiiiiiiiiiiii huyo baba, ana ukoo na msangi, zoka, na rama gondhu,khaaaaaa!
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Jul 31, 2012 #4 cacico said: uwiiiiiiiiiiiiii huyo baba, ana ukoo na msangi, zoka, na rama gondhu,khaaaaaa! Click to expand... Afu we nakuhitaji mtaa wa pili kule...
cacico said: uwiiiiiiiiiiiiii huyo baba, ana ukoo na msangi, zoka, na rama gondhu,khaaaaaa! Click to expand... Afu we nakuhitaji mtaa wa pili kule...
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,609 Jul 31, 2012 #5 Hahahahahahahahahahahahahaha