Mchaga v/s Mmakonde

Mchaga v/s Mmakonde

Jamsuldash

Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
69
Reaction score
24
Wamakonde wawili waliingia bar huku hawajui cha kuagiza, ghafla wakaingia wachaga wawili na kuagiza "aisee muhudumu tuletee kilimanjaro mbili za baridi".
Bila kuchelewesha wamakonde nao wakaagiza "na chichi tuletee Ntwara mbli za vuguvugu"
 
Mhudumu nae alikuwa mmakonde mwenzao akawahurumia then akawambia zimeisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom