Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari ndugu zangu wanajamii forum
Leo jamani ngoja mnisadie kuhusu hili.Nina mpenzi wa kichaga niliyempata hapa moshi mwaka jana tatizo kubwa hayuko romantic kabisa muda wote anazungumzia biashara tu yaani mpaka anakera,sometimes hata usiku mkiwa mmelala ukimwambia baby geuka nikupige busu ananiambia mpaka nimtafutie fremu mpya aanzishe biashara ndio atakubali nimbusu yaani stori zake asimia kama 70 ni biashara tu hata mkiwa na mtoko siku hiyo lazima abebe notebook eti huenda fursa za kibiashaa zinaweza kutokea namwambia baby kila jambo na wakati wake yeye hataki hiyo kitu yaani utamsikia usiku mpaka anaweweseka mara aisee mallya nipapangishie hiyo fremu yako nataka niweke hardware,wakati mwingine mpo mnakula mara baby tule haraka nataka unisindikize mjini tukaangalie duka la kina Lyimo la hardware kama kuna aina za hardware ambazo hata sisi tunaweza kuzinunua kidogo kidogo yaani hayuko romantic hata ukiwa umemkumbatia ukimuangalia anawaza mbali ukimuuliza unawaza nn baby anasema aanawaza biashara zake,kuwaza biashara sio tatizo,ila tatizo anawaza muda wote utadhani naishi na duka,hivi dada zangu wachaga mna mdudu gani jamani???!
Unauhakika unacho kinena?
Wewe Fara kweli.....
Ngoja upate huyu wa;
1. "Baby mama yangu anadaiwa 10milion ya kikoba nisaidie basi""
2." Baby nimepoteza ile simu uliyoniletea Jana, fanya mpango basi nimemiss WhatsApp ""
3. "" Baby unajua kwenye kitchen part ya Suzi tutavaa less wig za 800,000"
4. "" baby, nimechukua mkoba kwa mkopo wa 350,000 so utalipia next week""
Mkuu hapa vipi?
ha ha ha ha ina maana mkuu nikubaliane na hali halisi
ukimuomba kidude afu anakuambia habari za frem kubali unaenda kumfwanyia huko huko kwenye frem
Ndo hivyo, afu hakuna mwanamke anayemfiti mtu at 100%
Nakushauri;
Vitu vingine unamfundisha polepole...jifunze kucheza na saikolojia yake ! Handling yako ibadilike coz hisia za wanawake huwa ziko mbali..
Shemeji yako alikuja gogo, sasa anakata mauno kama wamama wa khanga moko
ukimuomba kidude afu anakuambia habari za frem kubali unaenda kumfwanyia huko huko kwenye frem
Unauhakika unacho kinena?
Mmh! Huo uongo sasa
Ndo hivyo, afu hakuna mwanamke anayemfiti mtu at 100%
Nakushauri;
Vitu vingine unamfundisha polepole...jifunze kucheza na saikolojia yake ! Handling yako ibadilike coz hisia za wanawake huwa ziko mbali..
Shemeji yako alikuja gogo, sasa anakata mauno kama wamama wa khanga moko