Mchaga Bahili

Mchaga Bahili

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,467
Reaction score
1,235
MCHAGA Bahili.. alinunua mbuzi! Akamwambia mpishi, Nyama nusu ipike pilau na nyingine itie kwenye friza! Kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi chukuchuku! Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pika na ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa! mkia nitengenezee usinga wa kufukuzia inzi Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani,, Mpishi akamuuliza: Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako?
 
Mchaga huyu kafika kule dunia nzima inakoelekea.
 
na wewe mwenye mada pia ni bahili ya kuaanidka. Hizo hati hazivutii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom