Mchaga aumbuka!


Jamani Rejao kwanza nilikumiss! Ulikuwa wapi? Naona tayari umeshafanyiwa na ile operation ya ngozi ukawekewa ile ya kitimoto. Umefanyia wapi? India? Ndiyo maana uliadimika!
lol...akutukanaye hakuchagulii tusi... unabahati hapa ni kwenye jukwaa la utani!
 
Aliyalamba..loh, jamaa amenikumbusha american pie, the wedding day. Stifler master alikula kimba la dog akizuga chocolate..we weee..!
 

nilivyoona heading tu nikafungua maana nilijua wakulalamika na kabila lao hawatakosekana

Kumbaav...aisee chalii angu nitakutoa nduki...unanisinizia !huyo alikua ni mkude gangwe sio mangi Yesuuu

kha! Ila kwa nini mchaga?
 
hahahahaha dah! Huyo kazi alikuwa nayo,je hawakum Cameron? Nalog off
 
ha ha ha ha.....tehe tehe tehe....hii imekaa vizuri ile mbaya.

 
Mwee! Km mm nduki. Hata hivo vi vacuum sijui naviacha apoapo. Km biashara naife!
 
Unafaham nduki ww!? Napenya hata km kuna upenyo wa tundu ya sindano!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…