kha! Ila kwa nini mchaga?
Jamani Rejao kwanza nilikumiss! Ulikuwa wapi? Naona tayari umeshafanyiwa na ile operation ya ngozi ukawekewa ile ya kitimoto. Umefanyia wapi? India? Ndiyo maana uliadimika![/QUOTE][QUOTE=Rejao;2787022]Lol...labda alikua na jenereta! Wachaga wajanja sana