Mch Msigwa amkubali Mhe Nyalandu

Ghosryder

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
10,317
4,303
Ni akiongea katika kipindi cha dk45 itv amesema ameikubali approach yake ya kupambana na ugaidi na amekuwa akimshirikisha kila hatu na wanaodhani amehongwa basi wamechoka kufikiri.
 
Ni akiongea katika kipindi cha dk45 itv amesema ameikubali approach yake ya kupambana na ugaidi na amekuwa akimshirikisha kila hatu na wanaodhani amehongwa basi wamechoka kufikiri.
Na wewe ni mmoja kati ya wale 12 waliopewa laptop na 3 million?majambazi nyieswissme;
 
Acha kukurupuka. subiri kipindi kifike hata nusu. unadhani Tv unayo wewe tu?
 
Ni akiongea katika kipindi cha dk45 itv amesema ameikubali approach yake ya kupambana na ugaidi na amekuwa akimshirikisha kila hatu na wanaodhani amehongwa basi wamechoka kufikiri.

Kumbe tatizo la Kagasheki lilikuwa ni kutomshirikisha muuza mitumba wa zamani pale Iringa!
 
Nina wasiwasi sana na huyu Msigwa mahojiano yote yeye anaitetea serikali tu na Nyalandu wake
 
Kumbe tatizo la Kagasheki lilikuwa ni kutomshirikisha muuza mitumba wa zamani pale Iringa!

WEWE MBONA NI KM UMEKURUPUKA TOKA KT FUMANIZI?? UMEKAA KAA KISHARI MDA WOTE.. NJOO UWAOKOE WEZI WENZIO WA ESCROW MIKUTANI YENU MINGI MKIITISHA MIKUTANO WANAISHIA KUHIAIRISHA KWAN MWITIKIO NI FINYU. JIANDAENI KUIBA KURA KM KAWAIDA YENu
 
Sasa nani kasema siasa ni kupinga kila kitu hata kama unaona kiko vyema. Kama kuna jambo jema limefanyika lazima lisemwe na kama kuna hila na uovu haupaswi kunyamaziwa kamwe.
 
Ni baada ya Nyalandu kuona ukwel kupitia video ya kuua wanyama ovyo. Big up Nyalandu + Msigwa wote wanastahil pongezi
 
Yaani katika mazungumzo yale,hasa juu ya visionary leadership inayohitajika nchini wewe kilichokugusa ni kukubaliana na approach ya utendaji kazi wa mtu.

Alafu bado tunabakia na nguvu za kuisukumia lawama zoote ccm
 
Back
Top Bottom