Mch lusekelo vs gwajima nani tajiri

Halafu ukishajua itakusaidia nini au utafaidika na nn? Fanya yako acha kufwatilia mambo ya watu,huo ndio tunaita umbea!!! Mwanaume unakuwa kama binti!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Dhaaa jf hii

Watu kwa michambo
 
Ndo Yale Yale ya kati ya mesi na Ronaldo nani analipwa hela nyingi.wakati wewe unamiliki korodani tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hao wote hakuna alieko
Kwny din n pesa tu wanataka
 
Dah nikafikir na mimi tapata majibu duhh pole mtoa mada wote wamekuchenjia...
 
Naomba kujua ni yupi tajiri zaidi na mwenye waumini wengi kati ya gwajima na lusekelo

Pia naomba kujua nani anaheshimika zaidi na jamii

Mwisho naomba kujua nani mkongwe zaidi aliyeanza kitambo uhubiri

Asanteni
Gwajima na wewe mtoa uzi nani tajiri
 
Naonaga BBC na majarida mbali mbali wanawaelezea watu matajiri duniani leo ndio najua kumbe nao ni wambea tu[emoji16]sasa wewe unaetaka kujua tz ilipata uhuru mwaka gani kama cyo umbea ni nini[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…