Leta ushahidi! Vingimevyo kaa kimya!
Leta ushahidi! Vingimevyo kaa kimya!
Halafu ukishajua itakusaidia nini au utafaidika na nn? Fanya yako acha kufwatilia mambo ya watu,huo ndio tunaita umbea!!! Mwanaume unakuwa kama binti!
Ndo Yale Yale ya kati ya mesi na Ronaldo nani analipwa hela nyingi.wakati wewe unamiliki korodani tu.

Gwajima na wewe mtoa uzi nani tajiriNaomba kujua ni yupi tajiri zaidi na mwenye waumini wengi kati ya gwajima na lusekelo
Pia naomba kujua nani anaheshimika zaidi na jamii
Mwisho naomba kujua nani mkongwe zaidi aliyeanza kitambo uhubiri
Asanteni
HahahaaNaonaga BBC na majarida mbali mbali wanawaelezea watu matajiri duniani leo ndio najua kumbe nao ni wambea tusasa wewe unaetaka kujua tz ilipata uhuru mwaka gani kama cyo umbea ni nini
![]()