Kwa Tanzania mchungaji tajiri kuliko wote ni Josephat Mwingira sema tu hanaga publicity na show off na tatizo lake kubwa ni kuwabana wachungaji wake kiuchumi hela zote karibu zinabaki makao makuu.
Tujikumbushe ana vitega uchumi kibao kama vile
1. efatha bank
2. efatha seminari
3. Mashamba rukwa huko
4. Nuru insurance co
5. TRENET tv
6. Makanisa kibao tz na nje