Mchungaji wa makanisa ya kipentekoste mch. Josephat Gwajima amesema hatapoteza muda wake kwenda kumuona Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Amesema barua aliyoipata toka kwa Mkuu wa Wilaya imemfedhehesha na kasema hataijibu itajibiwa na maombi ya mnyororo yanayoendelea.
Chanzo: Kutoka magazetini.

kabisa Ni NGO?Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE
hamjui Paul Makonda.
kabisa Ni NGO?
Afute NGO kwa sababu zipi labda aendeleze utoto wake wa kutafuta sifa kutoka kwa watu maarufu kama alivyofanya kwa Warioba.Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE
makonda aseme anahitaji posho ya kikao. kama polisi wameshamuhoji yeye anataka nn? anakuja pupa na ufinyu wake wa mawazo
Hivi huyu Makonda si ndiye alimpiga mzee Warioba? Afadhali Gwajima alishashtukia mapema!
Afute NGO kwa sababu zipi labda aendeleze utoto wake wa kutafuta sifa kutoka kwa watu maarufu kama alivyofanya kwa Warioba.