GE2025 MC Raji: Samia alipataje asilimia 98 ilhali Watanzania wengi walitaka aondoke

GE2025 MC Raji: Samia alipataje asilimia 98 ilhali Watanzania wengi walitaka aondoke

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
MC Raji Maarufu kama Shemeji wa Taifa kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram amezungumza kuhusu kuumizwa na namna uchaguzi ulivyofanyika Tanzania ambapo Mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan alishinda kwa 98% jambo ambalo ni ngumu kutokea huku damu za watu wengi zikimwagika na Viongozi wa Upinzani wakishikiliwa mahabusu

"Tanzania, Mungu yupo pamoja nanyi wote.
Lakini Samia alipataje asilimia 98 ilhali wengi wa Watanzania walitaka aondoke?" - Ameandika MC Raji


"
 
Back
Top Bottom