Mc Pilipili anastahili kutunukiwa PhD

Mc Pilipili anastahili kutunukiwa PhD

Tatizo mc pilipili sio mbunifu nimehuzuria sherehe nne nakuta mc pilipili anarudia yaleyale kila sherehe..... halafu anapenda kumwiga Omondi... sjui kabila gani huyu
Kabila lake ni mcomecome
 
Mchekeshaji nguli duniani MC Pilipili anastahili kutunukiwa shahada ya udaktari wa heshima kufutia kufanikiwa kuwa-inspire vijana wengi kujiunga na u-MC.
hivi likizo fupi ya wanafunzi imeanza eti, bora mfungue shule tu maana
 
Anasifia PRADO second hand (old model) utadhani kanunua CHOPPER
 
Back
Top Bottom