Mc Pilipili anastahili kutunukiwa PhD

Mc Pilipili anastahili kutunukiwa PhD

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,405
Reaction score
11,196
Mchekeshaji nguli duniani MC Pilipili anastahili kutunukiwa shahada ya udaktari wa heshima kufutia kufanikiwa kuwa-inspire vijana wengi kujiunga na u-MC.
 
Yaan wa tz weng mbululaa aka bashite mi sionagi special za huyu pilipili..ana boa tu..anaiga kenya kipy and paste
Ungeniambia the comed wakina jot,mpok masanja,wakuvanga, popo ningekuelewa
Uyo pili pili sijui stiv nyerere siwez toa pesa yang nikapoteze mda kuwa angalia
 
Labda phd kama ya hemed,na usiseme mc maarufu duniani sema dar es salaam na baadhi ya miji ya tanzania.Kwanza na mashaka na uelewa wako.
 
Si bora useme Bashite apewe hiyo PhD, au mchango wake wewe unauonaje katatika jamii hasa vijana?
 
shahada siyo matako kwamba kila mtu anahaki ya kupewa toka kwa mungu
 
Ni maoni yako mkuu!!
Indelea kuwaza hivyo hivyo...
Hata tambi tambi ni doctor kazana utaupata usivunjike moyo!!! Teacher!
 
huyu anayejichekesha na kucheka mwenyewe....dah tanzania.ndo.maana twaongoza kwa stress
 
Mchekeshaji nguli duniani MC Pilipili anastahili kutunukiwa shahada ya udaktari wa heshima kufutia kufanikiwa kuwa-inspire vijana wengi kujiunga na u-MC.
We ni kiazi kweli acha kujipa promo
 
Back
Top Bottom