Nafanya huduma ya ushereheshaji na uandaaji wa events, pia ni mnenaji mhamasishaji wa vijana kuwasaidia vijana kujitambua na kutambua ndoto zao na namna ya kuweka malengo na kuyafikia.
0672060757, 0766246982
Bahati mbaya nliupgrade kompyuta from window 8 to ten nkafanya backup ya data halafu kumbe window 10 ina option ya kubakiza kila kitu , nkakosea nkafuta ile backup pasipo kukumbuka kuwa nlishavifuta...
Hata hiyo flyer na logo ni mtu ambaye nlimtumia ndo kanirudishia
Ila u can see some few seconds clip at instagram @mcmtumishi