Mkuu usiongee kitu usicho na uhakika nacho, jua kwamba sijaporwaHata huyo ukiremba utaporwa tu!,
unakuwa na demu halafu Muda Mwingi unatumia kuzunguka nae kwny Malls sijui beach sijui Cinema n.k yaani 95% ni Mizunguko na ku chart halafu 5% ndio mnafanya Kazi ya Msingi kwanini usiporwe?
Nashukuru kwa kunielewaDemu mwenyewe mkali huyooo.acha alie tu
mumewe akipita hapa utaleta zogo kwenye ndoa ya watu! Jifunze kuruhusu mambo yapite kuna wakati mwingine nyumba inapoungua unapaswa kumshukuru Maanani maana huwezi jua pengine nyumbani kwako kulikua makzi ya nyoka ambaye angekudhuru siku moja, hivyo kitendo cha nyumba kuungua kikakuepushia balaa!Roho inamiuma saana sijui kwa nini,? Nilikuwa nilishakubali matokeo na nilijua tarehe ya arusi ila nilivo iona picha kavaa shela kapendeza uwez amini roho imeniuma saana
Kwa kweli mwenzenu yamenifika hapaa, yaan nimekosa hadi usingizi, niko kitandan naperuz simu yangu, ghafla nikasema nichungulie kunani instagram, ghafla naona picha ya harusi ya alokuwa mchumba wangu, tulikuwa tunapendana ila kigezo cha dini ndio kilotutenganisha, tukashindwa kuona. .
Yaan Mc lukuvanda umesababaisha leo sitalala, walah. Zuwena jua tu ni nakupenda.
Mkuu asante kwa kunifariji na kunitia moyomumewe akipita hapa utaleta zogo kwenye ndoa ya watu! Jifunze kuruhusu mambo yapite kuna wakati mwingine nyumba inapoungua unapaswa kumshukuru Maanani maana huwezi jua pengine nyumbani kwako kulikua makzi ya nyoka ambaye angekudhuru siku moja, hivyo kitendo cha nyumba kuungua kikakuepushia balaa!
Asante mkuuPole sana mkuu!
Siwezi weka picha humu, ila tembelea page ya mclukuvanda utamuona
Mkuu matusi ya nini? Mbona povu limekutoka? Au unadhan mm ndiyo mc luvanda? Huna cha kuchangia tembea mbelePromo / Kiki zingine ni za ' Kipuuzi ' sana.
Mkuu matusi ya nini? Mbona povu limekutoka? Au unadhan mm ndiyo mc luvanda? Huna cha kuchangia tembea mbele
Acha upuuzi tena nyamaza kimya, kabla sijakuharishia au ulikuwa unamtaka huyo manzi?Maneno yote ' unayatapika ' Wewe tu. Hopeless! Promo / Kiki za ' Kipumbavu ' hatuzitaki humu. au MC Luvanda ' Katiririka ' na ' Kaserereka ' na Mkeo / Demu wako?
Acha upuuzi tena nyamaza kimya, kabla sijakuharishia au ulikuwa unamtaka huyo manzi?
Shogelwamo wwPole sana Mkuu naona MC Lukuvanda ' Kakukanyagia ' na sasa unaweweseka tu humu JF. MC Lukuvanda popote ulipo big up sana na endelea tu ' Kumkazia ' hiyo ' Manzi / Ndito ' yake hadi akome.
Wewe nae unajiona umetoa dongo sasa?' Dongo ' langu limekuingia vilivyo.