MC Luvanda umenikwaza

Mrs Simbwa wazee wa mezani, now nasikia wanaenda kukata rufaa fifa
Usichafue koo za watu kwa kufananisha na unaowachukia, chuki zako kwa simba hazina uhusiano wowote na ukoo wa Simba
 
Aisee pole sana mkuu
 
MkuuMkuu umeleta picha tena huku, ndiyo umekuja kunichoma kabisaa.
Pole sana ila ukweli Zuwena si wa mchezo mchezo, kama kaopoa HB wa viwango hivi sipati picha wewe ni wa viwango gani
 
Usichafue koo za watu kwa kufananisha na unaowachukia, chuki zako kwa simba hazina uhusiano wowote na ukoo wa Simba

Taratibu mamaa, chuki zipi hapo? Pole kama umekwazika maa.
 
Asante, Mungu ameshanipa mwingine ila nashangaa jinsi roho ilivoniuma, kiasi cha kashindwa kulala. Japo bado sijafunganae ndoa.

Hata huyo ukiremba utaporwa tu!,

unakuwa na demu halafu Muda Mwingi unatumia kuzunguka nae kwny Malls sijui beach sijui Cinema n.k yaani 95% ni Mizunguko na ku chart halafu 5% ndio mnafanya Kazi ya Msingi kwanini usiporwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…