Daaaaah pole sana asee ...tunaomba na picha basiiKwa kweli mwenzenu yamenifika hapaa, yaan nimekosa hadi usingizi, niko kitandan naperuz simu yangu, ghafla nikasema nichungulie kunani instagram, ghafla naona picha ya harusi ya alokuwa mchumba wangu, tulikuwa tunapendana ila kigezo cha dini ndio kilotutenganisha, tukashindwa kuona. .
Yaan Mc lukuvanda umesababaisha leo sitalala, walah. Zuwena jua tu ni nakupenda.
Sasa picha si nyingi ntamuonaje?Siwezi weka picha humu, ila tembelea page ya mclukuvanda utamuona
Picha ya mwisho aloweka usiku huuSasa picha si nyingi ntamuonaje?
Roho inamiuma saana sijui kwa nini,? Nilikuwa nilishakubali matokeo na nilijua tarehe ya arusi ila nilivo iona picha kavaa shela kapendeza uwez amini roho imeniuma saanamkuu lala tu..usingizi utakupunguzia mawazo..haya mambo usiyabebe moyoni kama hutaki kuaga mapema..mademu ni weeeeengi hata ukitaka 20 utapata tu...kiufupi huyo hakuwa wa kwako na huenda ungeishi kujuta kama ungelimuoa
Roho inamiuma saana sijui kwa nini,? Nilikuwa nilishakubali matokeo na nilijua tarehe ya arusi ila nilivo iona picha kavaa shela kapendeza uwez amini roho imeniuma saana
Kwa kweli mwenzenu yamenifika hapaa, yaan nimekosa hadi usingizi, niko kitandan naperuz simu yangu, ghafla nikasema nichungulie kunani instagram, ghafla naona picha ya harusi ya alokuwa mchumba wangu, tulikuwa tunapendana ila kigezo cha dini ndio kilotutenganisha, tukashindwa kuona. .
Yaan Mc lukuvanda umesababaisha leo sitalala, walah. Zuwena jua tu ni nakupenda.
tulikuwa tunapendana ila kigezo cha dini ndio kilotutenganisha , tukashindwa kuona. .
Yaan Mc lukuvanda umesababaisha leo sitalala, walah. Zuwena jua tu ni nakupenda.
Mkuu unamaanisha nini kusema Mrs rufaa fifa?Pole, asee Zuwena kifaa bana, ameshakuwa Mrs Simba a.k.a Mrs rufaa Fifa. Samahani imenibidi tu kukimbilia insta nimuone huyo zuwena.
Jamii forum siku hizi Kuna followers?Huyu anatafuta followers
Asante, Mungu ameshanipa mwingine ila nashangaa jinsi roho ilivoniuma, kiasi cha kashindwa kulala. Japo bado sijafunganae ndoa.Dah polee usijal mungu atakupa mwingine Zaid ya yule
Pole, asee Zuwena kifaa bana, ameshakuwa Mrs Simba a.k.a Mrs rufaa Fifa. Samahani imenibidi tu kukimbilia insta nimuone huyo zuwena.