Mc amsifia bi harusi . .

Mc amsifia bi harusi . .

Pure Mathematics

Senior Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
174
Reaction score
52
Mc: sasa nawapa sifa kubwa ya bi harusi..
Tangu namfahamu yeye huwa havai nguo za ndani..
. . . . Watu wote ukumbini wakaduwaa, macho yakamtoka bwana harusi, bi harus akaanza kutetemeka..
Mc akasema: "narudia tena kwa msisitizo, na sijakosea, huyu bi harusi havai kabisa nguo za ndani.."
Yeye anavaa nguo za nje tu, kutoka italy, england, usa, wala sio za hapo kariakoo.. Makofi na vigelegele . .
Watu: ahaa..a aaa
 
Nahisi bi arusi kijasho kilianza kumtoka..
 
Mc: sasa nawapa sifa kubwa ya bi harusi..
Tangu namfahamu yeye huwa havai nguo za ndani..
. . . . Watu wote ukumbini wakaduwaa, macho yakamtoka bwana harusi, bi harus akaanza kutetemeka..
Mc akasema: "narudia tena kwa msisitizo, na sijakosea, huyu bi harusi havai kabisa nguo za ndani.."
Yeye anavaa nguo za nje tu, kutoka italy, england, usa, wala sio za hapo kariakoo.. Makofi na vigelegele . .
Watu: ahaa..a aaa

Nilidhani ndoa inapeperuka iyooo iyooo iyooo....duu, big up JF crux..!!
 
We mc acha machezo naona biharusi kidogo haja kubwa na ndogo zimtoke kwa presha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom