Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
Mc mmoja ajulikanae kama swai amedaiwa kulamba sh laki tatu za harusi na kuingia mitini ,habari zaidi zinasema mzee swai aliingia mitini na baya
zaidi siku ya harusi akazima na simu yake...huku wanakamati wakianza
kutukanana oooh nyie ndie mmekimbilia bei rahisi kwa kujuana sijui
mna kamishen..ooohh kila mtu akiongea na lake..muda ulipofika mc swai
akuonekana na kila akipigiwa simu aikupatikana.....
Ndipo akatokea mwanasherehe mmoja amjuaye mc nduguye akamwomba aje na
tax ashereheshe shuguli..kwa kweli hali ilikuwa mbaya yaani nasema upepo ulichafuka ndugu kuanza kutukanana na kila mmmoja kusema lake walisema waaalikwa....
Mwandishi wa dar leo alimtafuta mc swai kw audi na uvumba..ndipo simu yake ilipopatikana usiku w manane saa sita na nusu..huku akijiuliza jinsi ya kupoeka mzee swai alisema kwa kifupi ndugu nilifiwa na siku ya harusi nilikuwa njian kuja dar so nikaingia saa mbili usiku..akaulizwa kwa nini ulizma simu uwashe mida hii akasema kwa kweli kijana mi sijui hata simu ilijisi ilijisima kweli mi hata sielewi ilikuwa off tangu mugani...
Akadai alipofika kibaha alijitahdi kupiga simu kwa wanakamati aikuweza kupatikana kabisa....nawaomba radhi wana ndugu na kwa kwelis ikuwa nimedhamiri nimedhamiria kweliiiiiiiiiii...najua watanzania wenzangu mtanielwa m si tapeli......binafsi najisikia vibaya
wanakamati muwe makini sana wakati mkingangania ma mc..msiangalie maslahi yenu binafsi angalien na ubora na ustaarabu wa mc....
Hli liwe fundisho