MC aingia mitini na 300,000 za wanaharusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MC aingia mitini na 300,000 za wanaharusi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 14, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,246
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  Mc mmoja ajulikanae kama swai amedaiwa kulamba sh laki tatu za harusi na kuingia mitini ,habari zaidi zinasema mzee swai aliingia mitini na baya
  zaidi siku ya harusi akazima na simu yake...huku wanakamati wakianza
  kutukanana oooh nyie ndie mmekimbilia bei rahisi kwa kujuana sijui
  mna kamishen..ooohh kila mtu akiongea na lake..muda ulipofika mc swai
  akuonekana na kila akipigiwa simu aikupatikana.....

  Ndipo akatokea mwanasherehe mmoja amjuaye mc nduguye akamwomba aje na
  tax ashereheshe shuguli..kwa kweli hali ilikuwa mbaya yaani nasema upepo ulichafuka ndugu kuanza kutukanana na kila mmmoja kusema lake walisema waaalikwa....

  Mwandishi wa dar leo alimtafuta mc swai kw audi na uvumba..ndipo simu yake ilipopatikana usiku w manane saa sita na nusu..huku akijiuliza jinsi ya kupoeka mzee swai alisema kwa kifupi ndugu nilifiwa na siku ya harusi nilikuwa njian kuja dar so nikaingia saa mbili usiku..akaulizwa kwa nini ulizma simu uwashe mida hii akasema kwa kweli kijana mi sijui hata simu ilijisi ilijisima kweli mi hata sielewi ilikuwa off tangu mugani...

  Akadai alipofika kibaha alijitahdi kupiga simu kwa wanakamati aikuweza kupatikana kabisa....nawaomba radhi wana ndugu na kwa kwelis ikuwa nimedhamiri nimedhamiria kweliiiiiiiiiii...najua watanzania wenzangu mtanielwa m si tapeli......binafsi najisikia vibaya

  wanakamati muwe makini sana wakati mkingangania ma mc..msiangalie maslahi yenu binafsi angalien na ubora na ustaarabu wa mc....
  Hli liwe fundisho
   
 2. K

  Kilo Member

  #2
  May 14, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu ni wa kumtafuta na kumpa somo kwani Mc wa aina hii hastaili hata kidogo kupewa kazi.
   
 3. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ina maana Dar Leo wanafanya errors zote hizo katika typing?
   
 4. Z

  Zebaki Member

  #4
  May 14, 2010
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zamani MC alikuwa ndugu msemaji au mcheshi siku hizi ulaji!!!
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  aisee unajua siku ile nilikuwa na dili ta na dili tatuuuu, ikabidi niende kuendesha shuguli ya selehe ya arusi ya bwana Mushiii aliyekuwa amenipa lakin lakinneee. nilijua nitawesa fanikisha zote mbili bwanaaa alafu kule kwenye arusi ya kwansa nije badaye kama saa mbili na nusu ivi...bahati mbaya au mzuriii nikakuta kule kwa mushiiii kuna pombe nyingi kweriiii, nikajisahau, badaye rafikyanguu Eliakimu alinistua wakati stim zimeshapanda na arusi imepita, pesa nilishachukua...ikabidi ni fanyeje ujueee nizimesiii nizime simu babaaaa. thamahani rakini kwa usumbufu niliousababishaa, kwaheriiii.
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu....juzi nami nilikuwa kwenye harusi, MC akaingia mitini...akamtuma kijana wake na mziki kama Wa kilabuni!
  Uzuro kulikuwa na MC mwanakamati.....akaenda kuchukua mziki wake na. Home akakamata mike mwenyewe!

  Hawa ma-MC hovyo Kabisa.
   
 7. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2014
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  khaaaaaaaa!
   
Loading...