Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,239
Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu.
Baba akiwa anaua watoto badala ya kuwashsuri akifel ni raha sana!!! Pia hizi ndege zimenunuliwa kwa kodi za watz wote ila wapumbavu wanasema niza ccm wakaenda mbali zaidi wakaandika "hapa kazi tuu"Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu.
wananchi walilia Maendeleo ya Watu toka mwaka 2017 wamejiongeza kwa kufanya harambee 89 lakini serikali haioni juhudi zao za kutaka huduma ya afya kwa Maendeleo ya Watu .
Kwa hiyo liwepo hata kama linatia hasara!??? Aiseee Fu*ck matagaNilifurahi sana serikali ilipofufua shirika hili, hata kama linaenda kwa hasara, tuwe na shirika letu
Endeleeni kutumia kovidi kama kivuli cha kujificha, muda utaongea tu!
Siku hizi kila kitu kovidi, hata mdeni wangu hanisumbui tena... namwambia tu hali ni mbaya si unaona!!!
Tukubali au tukatae, uwekezaji huu wa kununua midege kwa Cash ulikuwa wa kiboya sanaNaoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu.
Hiii biashara ilishafeli ni suala LA muda tuuu!! Ndio maana hata CAG haruhusiwi kugusa huko ni aibu