Kama baba yako unamshauri usipite njia hii ina simba hataki utafanyaje kama siyo kumkumbusha si nilikwambia.Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu
Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu
Uko mbali na uhalisia, tunahitaji ndege tena sana,lkn si kwa utaratibu huu wa mtu mmoja kuamuaNaoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu
Baba akifeli watoto wenye akili lazima wamwambie ukweli. Ila mitoto ya mama inakaa kimya au inasifia ujinga wa baba...Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu
Usafiri wa anga haujawahi kuwa kipaumbele kwa taifa letu. Baba akichemka lazima aambiwe ukweli. Mandege yanaoza eapoti pale... Hospitali zisingeoza, shule zisingeoza, barabara zisingeoza...Nyie watu hakika kuna mahali mnalipwa, huwezi kushupaza shingo namna hii.
Tatizo la usafiri wa anga halijaikumba TZ peke yake, ingekuwa nchi yetu ndio pekee imeumia hapo ungekuwa na hoja, lakini hili janga ni la dunia nzima. Unataka serikali ifanyaje hapo?
Huo mfano hauwezi kufanana na hili plzzzzzzzz[emoji23]Kama baba yako unamshauri usipite njia hii ina simba hataki utafanyaje kama siyo kumkumbusha si nilikwambia.
Sijui kama wanatambua corona imeleta athari kubwa sana, hasa kwenye sekta ya utalii na vivyo hivyo usafiri wa anga, watu wanasahau haraka sana, na kupandisha uzi wa namna hiiNyie watu hakika kuna mahali mnalipwa, huwezi kushupaza shingo namna hii.
Tatizo la usafiri wa anga halijaikumba TZ peke yake, ingekuwa nchi yetu ndio pekee imeumia hapo ungekuwa na hoja, lakini hili janga ni la dunia nzima. Unataka serikali ifanyaje hapo?
Hivi janga la Covid-19 hujui kama limeleta athari kubwa sana, na kuathiri usafari wa anga pia, unachokosoa hapo ni nini, usomi wenu huwa mnasomea nini huko mashuleni mnashindwa hata kutoa tasmini za hapa na paleNi vema umekiri kuwa ZIMEFELI, hayo mambo ya baba usimtumie kwenye mifano ya hovyo.... inategemea pia ulimshauri nini kabla.
Hivi janga la Covid-19 hujui kama limeleta athari kubwa sana, na kuathiri usafari wa anga pia, unachokosoa hapo ni nini, usomi wenu huwa mnasomea nini huko mashuleni mnashindwa hata kutoa tasmini za hapa na pale