Mbwembwe za Nassari....

le baharia ukipata ubunge usikimbie tu
 
Le pedeshee mutu ya Newyork to East Africa yupo na Majembe,Sugu Nassari oyeeeee!
 
hahahahaaaa...!!!!nmeipenda.
 
namwona kada wa c c m amenuna kwenye ngazi tena ameharibu picha kama kuna mtu anaweza kumkata kichwa asionekane afanye ivyo chadema mwendo mdundo mpaka kieleweke
 
Naona jamaa hapo anahangaika kweli na mapicha-picha!!!

Cheap tokens indeed....:shocked::shocked:
 
Vema ya le mutuz @newyork imekaa kujihami, akibanwa na magamba atasema tumezoea kushika pisto melini, kwa hiyo ile ni kama nimeshika mguu wa kuku aka cha rage!
 
Naona jamaa hapo anahangaika kweli na mapicha-picha!!!

Cheap tokens indeed....:shocked::shocked:

sikuungi mkono! ni lazima tumuone angalau kwa picha.
 
Nassari Baba oa sasa ili wenye mdomo wakome
sawa eeeh?mke atakutunza zaidi,ili wakati wa
uchaguzi ujao uwe unapanda jukwaani na mkeo!
ITANOGAJE???????????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…