Mtanzania wa kwanza kuwa Mchezaji bora + Top score Caf Champions League.
Mtanzania wa kwanza Kucheza UEFA CL + Kuscore.
Waislam tuna vipaji sana Allah mkubwa
Kichwa cha habari ulipaswa kutumia neno "aweka rekodi" na si "avunja rekodi" kwa maana hapo kabla yake hakukuwa na mtanzania aliyeshikiria hizo rekodi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kasema ukweli unadhani faiza angeandika kama huyu mchezaji angekuwa anaitwa Patrick?Utaharibu uzi sasa hivi.
Samatta ni kijana wa mfano kwanza hana maringo na mstaarabu sana ukitaka kuthibitisha angalia pesa anayolipwa na maisha anayoishi....pia angalia lile sakata alivyokua anashambuluwa na sisi watanzania kwa kucheza vibaya timu ya taifa angalia jinsi alivyojibu jwa utulivu na upole.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo (yupo) aliye/waliokwisha cheza ligi zingine za Ulaya, hata yeye mwenyewe kishacheza ligi nyingine Ulaya.Kaweka rekodi sio kavunja. Atayekuja labda ndio avunje.
Kikwete ni mshabiki wa Newcastle na sio spurs.
Sasa wewe uandike nini ikiwa wote ntawaandika mimi?Jamaa kasema ukweli unadhani faiza angeandika kama huyu mchezaji angekuwa anaitwa Patrick?
amevunja rekodi ya nani??Wapo (yupo) aliye/waliokwisha cheza ligi zingine za Ulaya, hata yeye mwenyewe kishacheza ligi nyingine Ulaya.
Hapa amevunja rekodi na ndiyo kaweka hiyo rekodi mpya. Huwa sikisii.