Mbwana Samatta asajiliwa Fenerbahce ya Uturuki

Nimetoka kwenye page ya Aston Villa sasa hivi kwenye ile picha ya Samatta,comments za wabongo zinamake my night 🤣🤣🤣

Sasa bora kule Aston Villa tulikuwa tunaelewa kinachoandikwa na ubavu wa kujibu comments za waEngland tunao

Huku Fenerbahce najiandaa kucheka zaidi,manake sisi hatuwaelewi na wao hawatuelewi!

Samatta anatufanya tuanze kuangalia mpira wa Uturuki sasa 😂😂
 
basi umecheeka nusu uachie shuzi
 
Mimi nadhani ni hatua nzuri tu kabisa maana utacheza sehemu unayojuwa unapendwa na kuaminiwa kwa bahati mbaya Villa mambo hayakwendwa kama anavyotaka na huwezi kuwalaumu Villa pia sababu ni ukweli Mbwana hakuweza kucheza vizuri na kuonesha kiwango na hii inatokea sana tu hata kina Mo Salaha iliwatokea tu na wengi tu. Elneny wa Arsenal si juzi tu karudi toka Turkey na sasa hivi anacheza. kujipanga upya na kucheza Fenebarche sio kitu kidogo ni hatua kubwa kwa standard zetu.
 
Vila kucheza striker inahitaji moyo sana, wale jamaa kila mtui anacheza kivyake, Grealish ndio anaongoza kwa uchoyo. Sawa ni mchezaji9 mzurio ila juhudi zake nyingi anataka kufunga mwenyewe na ndio maana ile timu iliponea chupuchupu kushushwa daraja. Ukweli pia mpira haukumuendea vizuri Samatta kwa sababu mwenzake kasajiliwa tu Ollie Witkins na yuko onfore kila mechi anafunga
 
Kwisha habari yake
Aah kaharibu kwenda ligi za netiboli. Kwisha !
Kaiacha Dunia kaenda kijijini
Kwa hiyo ameshuka daraja la usajili?

Maana kuacha timu za dunia ya Kwanza na kwenda timu za dunia ya tatu huko ni kushuka hadhi na daraja.

Karuka maziwa akakanyaga mbolea
Kashindwa hata kufika Arsenal wazee wa shamba la bibi FC
Umasikini hua unaharibu saikolojia kwa kias kikubwa sana!
 
Walimaliza nafas ya ngap hao fenabache
Hiyo nafasi ni plat number, hawawez maliza juu ya hapo msimu mwingine

ajabu sana mtu anaamka asubuh na akili mbovu hv, hujui kuna msimu mwingine na mwingine na mwingine na mwingine nk nk
 
Basi msitudanganye msimu huu atacheza UCL , kwa ligi ya uturuki nafasi ya UCL ni 1 tu, na Galatasaray ndiye anayeichukua kila siku,
 
Fernebahce ni bora *100 ya AVFC na pia si parahisi kihivyo.. Atatengeneza pesa nzuri sana USD 44000/week kwa turkey ni nzuri sana.. Ninachoamini Sammata hakupewa muda wa kutosha pale AVFC..
 
Back
Top Bottom