medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,398
- 1,418
Serikali imefanya nn tena?Serikali hii misukule
Labda alifanya uamuzi wakurudi usiku.Ivi kwa nini arudi usiku jamani yani bongo bhana
...ratiba za ndege za watu hizo,acha kulia lia!Ivi kwa nini arudi usiku jamani yani bongo bhana