Mbwana Samata wa Aston Villa hana tofauti na Yikpe wa Utopolo

Kilichobaki ni sala kwa nahodha wetu.
Screenshot_2020-08-05-14-25-09.jpg
 
Aah, Samatta hamna kitu, ile ligi imemzidi kimo mbali sana. Labda arudi tu nyumbani achezee akina Simba.
 
Mna haki ya kukosoa Ila msimvunjie heshma Samata. Samata ni mchezaji mzuri ila yeye na timu yake wanapitia wakti ngumu ila anahitaji muda akae sawa. Samata ni fahari ya Tanzania, kufanikiwa kwake EPL Kuna fungua Imani kwa Mawakala juu ya wachezaji kutokea Tanzania.
Sawa
 
Back
Top Bottom