Mbwana Samata anavyoibeba Tp Mazembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbwana Samata anavyoibeba Tp Mazembe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by samirnasri, Jul 18, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mchezeji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samata anayekipiga katika timu ya Tp Mazembe ameendelea kuwa mwiba mkali kataka ligi kuu ya Demokrasoia ya Kongo. Samata, akiingia kutokea benchi katika mechi yake ya kwanza kuichezea timu yake, alifunga goli pekee katika dakika ya 89 lililoiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa goli moja kwa bila dhidi ya timu ya Republican Guard. Tarehe 15 july 2011, Samata pia alionesha kiwango cha juu pale alipoweza kutoa pasi mbili za mwisho zilizo zaa mabao mawili ambayo yaliiwezesha tp mazembe kuibuka na ushindi wa magoli 2 kwa o dhidi ya timu ya FC Saint Pierre.
   
 2. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,131
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Ndio wajibu wake..si analipwa.
   
Loading...