Mbwana Ally Samatta kujiunga na klabu ya AS Roma ya Italy

Status
Not open for further replies.

mbeyaboyfrancy

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
248
91
Habari zilizo mjini kwasasa nikuwa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya Genk Mbwana Samatta kesho atakuwa Nchini Italy kufanya mazungumzo ya kujiunga na klabu ya AS Roma ya Italy.

=========

KANUSHO: Mbwana Samatta tena mwenyewe ameongea " live " na E FM shortly na kasema kuwa hizo taarifa SI ZA KWELI na ZIMEPOTOSHWA ila akasema kuwa alichokimaanisha ni kwamba huko mbeleni angependa pia kucheza Ligi ya Italy SERIE A na Klabu aipendayo ya AS Roma.
 
Mungu abariki juhudi zake. Ikifikaga hatua hii tunajifanya wazalendoo huku tukitaja nchi kana kwamba serikali ilihusika kumfikisha hapo alipo.
 
Kama ni kweli mi ningemshauri akipige tena hapo genk walau msimu mwingine mmoja baada ya hapo nadhani mambo yakimuendea vizuri angepata ofa nyingi zaidi kwenye ligi zenye ushindani,ila all in all kila kheri kwake.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom