keynessian
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 591
- 422
Huyu Mbwambo kuna kitu cha ziada anachokifukuzia si bure. Mbona habari zake ni upande mmoja tu. Japo sina taaluma ya uandishi, naiona kasoro ya kimaadili katika uandishi wake kwani nyingi hazina balance. Na kwanini leo na siyo kipindi akiwa waziri mkuu? Kwanini hukutuhabarisha juu ya ugawaji wa maeneo ya umma kwa wahindi kipindi hicho? Na kwanini uione Monduli leo kana kwamba umezaliwa leo?
Unatumika kwa maslahi ficho au tamaa ya uteuzi fulani uloahidiwa! Sikuamini na siziamini habari zako kwani ni potoshi kwa wenye kuyahitaji mabadiliko. Waache wananchi waamue na wachague wakitakacho kwani hawajakuomba maoni yako.
Hoja imekaa vyema sana