Mbwa wawili.

Mbwa wawili.

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,749
Reaction score
7,024
Mbwa koko wawili walikuwa wanasaka
chakula kwenye jalala, mara ikapita Land Rover
ya FFU na ndani yake kuna mbwa wa polisi;
Mbwa koko mmoja akaangalia kwa uchungu
kisha akamwambia mwenzie, ' Unaona
wenzetu waliosoma, wale wanaenda kazini'
 
Back
Top Bottom