Mbwa wangu siku tatu hawataki kula, nifanyeje?

Genius1

Member
May 3, 2014
28
11
Ni siku tatu, mbwa wamegoma kula. nmeita veterian officer, amewachoma sindano.. lakin bado hawali . je ni kwann na nifanye nn??
 
Tafuta vitamin tabs na vitadog...hata kama wamepata matibabu hamu ya chakula hairejei haraka sana. Na fanya kuwapa chakula kitamu kwao kama supu...nyama...maziwa...as they regain appetite, u can change the meal
 
Dah...
 
Ni siku tatu, mbwa wamegoma kula. nmeita veterian officer, amewachoma sindano.. lakin bado hawali . je ni kwann na nifanye nn??
Waaacheeee kwani lazimaaa si wanauwezo wa kujitafutia chakula we unahangaikaaa nin?
Au ndo hawabweki akitokeaaa mwizi usiku......hao wamekuaaaaa waacheee wasileeee na wakichukuaaa mboga jikoni kwaki usiwapige
 
Nadhan watakua na mgomo hawataki kulala nje walaze ndani af ww kalale bandani kwao wakigoma tena kula wape chips kuku uwapeleke na beach wakapigwe upepo
 
Mizaaa kwenye serious issue haifai. Kama huna hoja pita kimyakimya.

Natamani niwafanye daku
Nadhan watakua na mgomo hawataki kulala nje walaze ndani af ww kalale bandani kwao wakigoma tena kula wape chips kuku uwapeleke na beach wakapigwe upepo

Wanataka kukutafuna hao
 
Au wamegoma mana wafugaji wengi hua mnawapa mavyakula ya machafu ya Mahotelin mbwa kama mtu tu anataka uangalizi na chakula kizur
 
Wamegoma kula???
Umewapatia msos gani,waeza sema mbwa wako hawataki kula kumbe umewapa ugali+beanz,,,ha aha haa,
Dog wanakula nyama
 
kwani we hujui kuwa huu ni mwezi mtukufu? alafu unataka kuwalazamisha wale yani we jamaa ww!! ushindwe kabisaa
 
Back
Top Bottom