Mbwa wanauzwa

Mbwa wanauzwa

Buza

Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
57
Reaction score
14
Mbwa wanauzwa aina ni Maltese, wana wiki 9. Tayariwameshapata chanjo ya kwanza.
 

Attachments

  • 20140927_095302.jpg
    20140927_095302.jpg
    1.2 MB · Views: 315
Mbwa wa aina hiyo nikiwapeleka shamba wataWeza kamata digidigi
 
Bei ni Tsh 300,000 kwa puppy. Hawa ni wa mapambo tu sio ulinzi
 
Back
Top Bottom