Yaani tabia zao kama watu, hasa kipindi hiki cha
mvua na ubaridi utakuta wanarandaranda mitaani
wakifukuzana mitaani na kufanya vitendo
vya kuongeza uzao wao.
Utakuta wanatoka kwa wanaowafuga
wanakuja kufanya ujinga wao kwa wasiowafuga.
Hebu tushauriane tuwafanyaje hawa 'wadudu'
wakome hako katabia kao mbele ya wanetu
wadogo tena malaika wasiojua A wala B ya hii maneno.
Basi bwana tulipokuwa wadogo,mbwa dume na jike walikuja mbele yetu huku wamenatana.Mwenzetu mmoja aka-suggest tuwatenganishe kwa kupiga shaft ya dume kwa ukuni.Hili wazo lilipingwa vikali sana na mwenzetu mmoja ambae yule mbwa dume alikuwa ni wao akidai kwamba kwa kufanya hivyo mbwa dume ataumia shaft yake.Final solution ikawa zitumike kuni mbili,ukuni mmoja upige kiuno cha jike na mwingine kiuno cha dume.Hii mbinu ilifanikiwa kwani walijichomoa kwa nguvu zote na kila mbwa akashika njia yake huku wakiacha matone ya damu nyuma.
Huyo jike alikua bikra maana mpaka damu

I'm sorry but kwa umri ule hiyo ndo ilikuwa solution yetu.Huu ni unyama wa hali ya Juu sana.. Ile flap ya mbwa inaweza isirudi ndani kwenye kifuko chake tena, na kusababisha mainzi kukivinjari, afu then kidonda na mbwa hufa kwenye maumivu makali sana. wataalam wa mifugo wanasema Lile fundo la mbwa Dume ni kama mfumo wa pira gumu ambalo hunatia kwenye uke kama ball joint za gari. sasa ukitenganisha kwa Nguvu unaweza kuua mishipa yake na lile konzi lisirudi kwenye kifuko chake.. aisee ni unyama wa hali ya juu. please stop it kwa generation yako.
That was when i was in standard 4 with childish mind!Wewe Jaguar unajisifia ukatili muliyowafanyia hao wanyama, hasara na dhambi iliyoje!