Kwasasa mbwa wote wakubwa na wadogo wanakula nyama(kwenye mabucha wakikata nyama kuna pumba zile zinazodondoka) au samaki (huwa ninafuata ferry yale mabaki wakisafisha utumbo) halafu nachanganya na pumba za mchele au unga wa ugaliWanakula chakula gani mkuu?
Uwezo wao wa kutunza kumbukumbu ukoje? Isijekuwa kama wale pitbulls na rottweiler ambao wakiwa na njaa kumbukumbu inapotea, hawajui mgeni wala mwenyeji.View attachment 2806556View attachment 2806562Ninauza mbwa wakali kwa ajili ya ulinzi
Aina: MALI DUTCHIE DOG
Mbwa hawa ni mchanganyiko wa baba yao ambae ni Dutch Shepherd na mama yao ambae ni Belgian Malinois
Mama yao huyu hapa chini
Mkuu kuhusu memory wako vizuri kwasababu wazazi wao wako very active, ila tu hawa mbwa kwasababu wanapenda sana michezo ukiwaacha na watoto uwe nao karibu sana. Wanapenda kung'ata wakidhani wanacheza kumbe wanamuumiza.Uwezo wao wa kutunza kumbukumbu ukoje? Isijekuwa kama wale pitbulls na rottweiler ambao wakiwa na njaa kumbukumbu inapotea, hawajui mgeni wala mwenyeji.
kwema ....hivi hawa mbwa bado wapo?View attachment 2806556View attachment 2806562Ninauza mbwa wakali kwa ajili ya ulinzi
Aina: MALI DUTCHIE DOG
Mbwa hawa ni mchanganyiko wa baba yao ambae ni Dutch Shepherd na mama yao ambae ni Belgian Malinois
Umri : 3.5months
Bei: 300,000/- kwa mbwa mmoja wamekwishapata chanjo
Walipo: Kigamboni-Kibada
Mawasiliano: 0713621678 au 0712632465
Sifa za hawa mbwa:
1. Ni mbwa wenye akili na wanafaa kuishi na familia
2. Wakali sana, hapa uhakika wa ulinzi upo. Mtu akipita tu nje lazima abweke
3. Wanapenda michezo
4. Kama unataka kampani ya mazoezi asbh au jioni huyu mbwa anakufaa
N.B: Hawa ni mbwa ambao wako active sana na wananguvu. Hautajutia kuwa nao kwaajili ya ulinzi nyumbani kwako.
View attachment 2806565
View attachment 2806566View attachment 2806567
Mama yao huyu hapa chini
🤣🤣Wenzio wameshasasambuliwa huko na mbegu kama hizi zenu yauweni tu