Je amehudhuria mafunzo Nje ya Nchi?Mafunzo anayo na chanjo kapewa pamoja na dawa za minyoo
Mbona kama vile namkumbuka uyu mbwa.huyu si ndo alikuwa anauzwa milion 7 , kimemsibu nini mpaka kafika kwenye laki 4 na nusu jamanAina/breed; german shepherd
Umri; miezi 6
Jinsia; dume
Bei; 450,000
Mahali; moshi
Mawasiliano; 0783961260 au 0685065677View attachment 1209502View attachment 1209505
Mbona kama vile namkumbuka uyu mbwa.huyu si ndo alikuwa anauzwa milion 7 , kimemsibu nini mpaka kafika kwenye laki 4 na nusu jaman