amani ya kweli
Senior Member
- May 2, 2015
- 149
- 17
DAB kamtuma huyo!!uzi uko jukwaa la siasa si upeleke jukwaa lake mahalia
kaka hata mm ni mfugaji mwenzio niko zanzibar ila kuwapa mafuzo ndio shidaa nitakutafutaaa.0776450067Hello friends, hivi mnafaham kuwa mbwa ni mlinzi mwaminifu wa kweli na unapotumia mbwa mwenye mafunzo unakuwa umeongeza uhakika wa usalama wako Mara dufu kuliko kutumia Masai au binadam yeyote? Wasiliana nami nikushauri au nikuuzie mbwa wa Kisasa na wenye urahisi wa kufundishika. 0768638360
Ohooooo!!!umechefukwa mkuu.Hii ni dharau kwa kabila ulilolitaja kulilinganisha na mnyama! Fanya biashara acha dharau mb.wa wewe.
DAB kamtuma huyo!!
Una mbwa aina gani (breed)? Bei zake zikoje? Labda tuanzie hapo.. Mbona hujibu????????Hello friends, hivi mnafaham kuwa mbwa ni mlinzi mwaminifu wa kweli na unapotumia mbwa mwenye mafunzo unakuwa umeongeza uhakika wa usalama wako Mara dufu kuliko kutumia Masai au binadam yeyote? Wasiliana nami nikushauri au nikuuzie mbwa wa Kisasa na wenye urahisi wa kufundishika. 0768638360
Pamojakaka hata mm ni mfugaji mwenzio niko zanzibar ila kuwapa mafuzo ndio shidaa nitakutafutaaa.0776450067