Mbwa mkali ndani

Mbwa mkali ndani

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
7,935
Reaction score
10,559
Habari za mchana wapendwa
Leo nataka niwaibie siri vijana
Unapopita mtaani unakuta
Wameandika kuwa kuna mbwa
Wakali ndani usihofu hiyo ni fursa ndani kuna watoto wa kike Wakali Balaa kama unabisha Fanya utafiti utakuta hata paka
Hayumo
 
Hahaaaaa Ngoja ukutane na pitbull kama yule wa king Messi utaisoma namba, au Germany Shepherd
 
Mie pia nimeweka ilo tangazo kwangu maana kuna watoto walikuwa wanacheza mpira ukaingia ndani ya fensi madogo wakaruka ukuta kuufuata. Kilichowakuta na kilichonikuta baada ya lile tukio na Germany shephard wangu ndio nilijua duniani hakuna jambo dogo. Kwa sasa nimeweka vibao kila kona ya nyumba kuwa kuna mbwa wakali hakijichanganya mtu mie simo
 
Kwani huyo whuuuu whuuuu wako hana banda la kuishi ili umfungulie usiku? 🐩🐕🐕🐕🐕
 
Af hao watoto wazuri wakikaa sana ndani hawajapata mchumba na wanataka kuolewa wanageuza kibao wanaweka kibao kilichoandikwa Tunauza barafu
 
Back
Top Bottom