Mbwa Koko

Mbwa Koko

grand-mal

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
337
Reaction score
176
Mbwa koko wawili walikuwa wanasaka chakula kwele jalala, mara ikapita Land Rover ya FFU na ndani yake kuna mbwa wa polisi;

Mbwa koko mmoja akaangalia kwa uchungu kisha akamwambia mwenzie, ' Unaona wenzetu waliosoma, wale wanaenda kazini'
 
Ujaua maana halisi ya story hii? Ina maana ndefu sana.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
2ache uongo jamani tokea mwaka huu uanze hii ya leo imenichekesha sana duh.
 
Mbwa koko wawili walikuwa wanasaka chakula kwele jalala, mara ikapita Land Rover ya FFU na ndani yake kuna mbwa wa polisi;

Mbwa koko mmoja akaangalia kwa uchungu kisha akamwambia mwenzie, ' Unaona wenzetu waliosoma, wale wanaenda kazini'

safi sana! dah ntawahadisia wanangu hii, manake ni fundisho tosha kbs
 
Back
Top Bottom