Mbwa kiboko ya wezi

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,574
kuna mbwa mmoja hivi askari wa jeshi la marekani alikuwa ni balaa kwa kukamata wezi, mkuu wa mkoa wa kilimanjaro akamuomba, baada ya siku 3 alikamata wezi 10. mkuu wa mkoa wa dar naye akumuomba baada ya siku 5 wezi 20 alikamata, mkoa wa dodoma baada ya siku 6 wezi 30, basi mkuu wa mkoa wa iringa naye akamuomba baada ya siku 2 mifupa yake ikaokotwa.
 
wakikusikia wenyewe...
 
Jamaa alitembelea familia ya wenyeji wa mkoa fulani "naepuka mgogoro" akaandaliwa chakula,kwa kuonyesha kuwa amefurahia mlo jamaa akasema niongezeni jamani,akaambiwa samahani mgeni ka-mbwa kenyewe kalikuwa kadogo! jamaa kabakia aaahh mmmhh.. too late!
 
ni sooo......iringa ya kweli haya!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…