Mbwa harusini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbwa harusini

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkwaruzo, Mar 4, 2011.

 1. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ilikuwa kuna harusi, watu wamesha chinja ngombe na wanaendelea na mambo mengine. Mbwa walionekana kutocheza mbali na eneo hilo ila watoto walikuwa hawawapi raha kwa kuwalenga mawe. Kama masihara, mama mmoja akasema "nyie hao mbwa musiwapige mawe, kuna wengine si mbwa". Mbwa mmoja akajibu "hata usiseme mwenzangu".
   
 2. z

  zayat JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo mama haku job 100 aliposikia mr dog anasema
   
 3. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  labda iwe imemtokea mbele ya safari lkn cha kwanza kutokea kwa walio wengi ni kama marathon ya masafa mafupi
   
Loading...