Km hauna instagram tutafute whatsapp mkuu, namba yetu ipo hapo juu
Nyie kuweka bei hadi mtafutwe?Km hauna instagram tutafute whatsapp mkuu, namba yetu ipo hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anazingua.....Nyie kuweka bei hadi mtafutwe?
Au ndo yaleyale nikija nikakuuliza sh ngap wewe unanijibu kwani una sh ngap
Wanaliwa wale, watamu sana.Anazingua.....
Sinpendi mpwa ila Kuna hao wanaitwa American Pitpull wamejazia mikono Kama wanapiga chuma/gym Ni wanavutia na kutisha/ulinzi tosha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaliwa wale, watamu sana.
Usiwe una kurupuka kuweka comment kila uzi, uwe unasoma kwnza unaelewa, kwa akili yako unafikiri kila tangazo lazima liwe na bei? Elewa kwnza lengo la tangazo ndo ukurupuke kukoment..Nyie kuweka bei hadi mtafutwe?
Au ndo yaleyale nikija nikakuuliza sh ngap wewe unanijibu kwani una sh ngap
Huyu hapaAnazingua.....
Sinpendi mpwa ila Kuna hao wanaitwa American Pitpull wamejazia mikono Kama wanapiga chuma/gym Ni wanavutia na kutisha/ulinzi tosha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uelewa mdogo ulionaoUsiwe una kurupuka kuweka comment kila uzi, uwe unasoma kwnza unaelewa, kwa akili yako unafikiri kila tangazo lazima liwe na bei? Elewa kwnza lengo la tangazo ndo ukurupuke kukoment..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikutag ili iweje? Uombe hela ya bando au? Em kuwa km mwanaume basi.Kwa uelewa mdogo ulionao
Ukipata mteja humu unitag
Nyie ndio vijakazi Wa maboss msio na adabu
Kwa uelewa mdogo ulionao
Ukipata mteja humu unitag
Nyie ndio vijakazi Wa maboss msio na adabu
Hah hah hapana mkuu, huyu mbwa kweli anajeuri kiasi na zaid sifa ya ujeuri inampata kutoka na mwonekano wake... Ila ni mbwa rafiki sana kwa watu, hasa ukimsocialize angali mdogo, Mbwa huyu ni kwa ajili ya dog fighting hivyo si adui mkubwa kwa watu km wengi wanavyofikiri. Japo akiamua ameamua.Muhuni sana huyo anaweza akawatafuna nayama hata watoto aisee