Mbwa Anauzwa bei nzuri

Asanteni sana wadau!

Kuna mwana jamii mmoja ameshamnunua tutaendelea kujulishana kwa biashara zinazofuata.

Cheers!
 
Asanteni sana wadau!

Kuna mwana jamii mmoja ameshamnunua tutaendelea kujulishana kwa biashara zinazofuata.

Cheers!

nyie watu wanayo pesa mbwa laki6?????
 
najishaua nini weww
kwetu tuna mpwa 12
nimezaliwa naishi naobkumbe uwajui wamasai wewe???
baada ya ngombe, ubazani mtoto wa miaka 9 anachunga vipi ngombe 200 bila kuwa na mpwa???????
USIKURUPUKE

Duuuhh, ng'ombe 200? sasa mahari nitakulipia ng'ombe wangapi?
 
Faizer nmbona hivvi unaniaribiaa namwajumawangu
 
mbona kanyama kadogo hivyo, si bora nikanunue ng'ombe
 
Huyu mbwa kwel?

Mie nahisi ni kicheche hiki na sio @mbwa
vuta hisia uko naye kisha ukutane na mbwa koko / jibwa babe la kitaa kama boby, simba , chui, mbavu etc...si atapigwa finger moja tu chali. Mie naona hata kuua panya huyu mbwa hawezi kabisa.
 

Utamu wa maisha upo kwenye tofauti zetu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…