ukaguzi ni ukaguzi tu ila kulingana na hii picha na maelezo ya yako,kinachofanyika hapo sio sio sahihi.lazima uangalie na imani za watu.kuna watu mbwa kwao ni haramu na hata kugusa mzigo wake inampa mashaka.kwa taarifa yako jnia mbwa wapo na hufanya kazi kama hiyo pale tu pindi abiria anapomaliza kuchek in na kuachana na mzigo wake.sio lazxima kitendo hicho kifanyike mbele ya abiria
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.